Ivi ukilewa lazima utukane?

Ivi ukilewa lazima utukane?

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Ivi ni ushamba au ulimbukeni? Umelewa kwa pesa yako afu unatoa matusi ovyo! Ivi sheria inasemaje kuhusu watoa matusi ovyo hadharani? Ningekuwa na bastola nakuchapa za USO!
 
We waue tuu mbona hujiuliz kwanin mtu akilewa anaongea kiingrezaaa,piga bastolaa tuu
 
We waue tuu mbona hujiuliz kwanin mtu akilewa anaongea kiingrezaaa,piga bastolaa tuu

Sina kiulio mkuu otherwise ngemtandika! Afu mbaya zaidi anakitaja kiungo kimoja tu cha mwanamke :banghead:
 
Pombe ni mzuka kabla ujanywa ukipanga nikinywa ntafanya hiv au vile bas ukilewa tu utaanza kufanya vivyovivyo.unywaji wa pombe kupita kias ni hatar na sumu kwa afys yako
 
Wanao lewa na kuanza kutukana ama kuwa na hasira za ajabu ajabu kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa... mojawapo ni kutokuwa na uhakika wa kesho yake ataishi vipi, baada ya kumaliza pesa zake kwa kulewa.

Aidha matatizo ya muda mrefu katika familia yake/kazini kwake/kwa rafiki zake yanaweza kumfanya mtu aliyelewa kutuka hovyo... kwa kujitafutia japo faraja kidogo wakati huo, na kabla pombe kumtoka kichwani.
 
Sasa kwa nn atukane tusi hilohilo
 
Back
Top Bottom