Ivi ukilewa lazima utukane?

Hahahaaa mwingine alilewa akagonga bajaji..kufika hospital bado anatukana sasa hapo sielewi ukubwa wa hiyo pombe kumwendesha mtu kihivyo..
 
1. Pombe za bure hizo
2. Wana tumia pombe kuendeleza agenda zao za matusi.
3. Akili fupi za mbayuwayu
4. Ulimbukeni
5. Mafunzo ya matusi hayo
 
Huo sio ulevi... Ulevi usisingiziwe na mambo mabaya
Ivi ni ushamba au ulimbukeni? Umelewa kwa pesa yako afu unatoa matusi ovyo! Ivi sheria inasemaje kuhusu watoa matusi ovyo hadharani? Ningekuwa na bastola nakuchapa za USO!

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…