Kama ndio hali halisi unadhani kutotangaza ndio solution?duniani kuna watu wana bahati mbaya wakati wanakua tumboni kwa wazazi wao, kunatokea mkanganyano wa hormones, sio kosa lake ndivo alivyoumbwa,japo ni ngumu kukubali ila ndio hali halisi
iyo rahisi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
tembea kike kama lizzy vaa kike kama fist lady jimbambe kike kama madameX zingatia swaga za erotica busara kama catalisia kwa hapo utaitwa shonga kaa kihasara hasara kama zinduna bila kusahau umbea,unafiki vidole juu muhimu.aaa nimesahau penda ATM wallet kama ummu kulthum
Boflo nilikuletea that day hukutokea nikampa Rutashubanyuma. Subiri my douta anafikisha eitiin next reini sizoni, nitakupa. Meanwhile namfunda jinsi ya kukabiliana na maumbile yako huge!