Ivi uyu bibi ni Bibi yake Obama kwel Mbona kafa na nikama hamna kilicho tokea?

Ivi uyu bibi ni Bibi yake Obama kwel Mbona kafa na nikama hamna kilicho tokea?

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Ivi wadau naomba kuuliza Bibi alie kufa Kenya na Kuitwa Bibi yake Obama imekuaje Bibi yake Rais Mstaafu Tena wa Marekan Anakufa Dunia hairipot chochote l!?
Vip Obama ashindwe Kuja kumzika Bibi yake au hata kutuma Salam za lambilambi?

Mimi nahisi uyu Obama waafrica tulipigwa
 
Pitia Instagram account ya Obama, mbona alipost? Kingine watu wengi hawajui kwamba huyu ni bibi yake wa kufikia tu na sio Bibi yake wa damu kabisa, inshort ni mlezi wa Baba
IMG_20210331_220835.jpg
 
Back
Top Bottom