Kama ulifanya utafiti, tunategemea utuambie sababu ya tatizo lililokufanya ufanye utafiti.
chochote kitakachosemwa na mtu ambaye hajafanya utafiti, kitakuwa cha uongo ama ni UTANI TU
Utafiti uliofanywa na Mwita C.K (1899) kuhusu tatizo hilo aliweza kugundua matatizo yafuatayo:
Kwa suala la kula mizoga, ni kwamba wanapenda sana nyama. Hata wanyama wengine ambao kwa asili hawaliwi na binadamu, wao huwala. Mfano; Punda, Fisi. Wana kisingizio cha kusema kuwa hata "fisi ni ngozi, ndani ni nyama".
Kwa tatizo la kuzaa ovyo, Mwita alisema kuwa kwa asilimia kubwa linasababishwa na tabia ya kupenda nyama. Hivyo basi, binti wa kinyiramba akiolewa, kama huyo mwanaume hana uwezo wa kumnunulia nyama angalau kilo mbili kwa siku, huyo mwanamke lazima ataachika kumtafuta mwanaume wa kumtimizia haja hiyo. kwa kuwa hufanya hivyo kwa kubahatisha, hujikuta anazalishwa na wanaume mbalimbali, na hivyo kuza ovyo ovyo.