Katika kajitafiti kangu kafupi nimegundua kuwa hakuna kabila inapenda kula mzigo kama wanyiramba awe wa kike awe wa kiume kazi ni ile ile halafu kwa kuzaa watoto holela, unakuta kila mtoto ana baba yake au kila mtoto ana mama yake.
Ivi tatizo liko wapi? wana Jamii naomba mchanganuo wenu!
Kama ulifanya utafiti, tunategemea utuambie sababu ya tatizo lililokufanya ufanye utafiti.
chochote kitakachosemwa na mtu ambaye hajafanya utafiti, kitakuwa cha uongo ama ni UTANI TU
Utafiti uliofanywa na Mwita C.K (1899) kuhusu tatizo hilo aliweza kugundua matatizo yafuatayo:
Kwa suala la kula mizoga, ni kwamba wanapenda sana nyama. Hata wanyama wengine ambao kwa asili hawaliwi na binadamu, wao huwala. Mfano; Punda, Fisi. Wana kisingizio cha kusema kuwa hata "fisi ni ngozi, ndani ni nyama".
Kwa tatizo la kuzaa ovyo, Mwita alisema kuwa kwa asilimia kubwa linasababishwa na tabia ya kupenda nyama. Hivyo basi, binti wa kinyiramba akiolewa, kama huyo mwanaume hana uwezo wa kumnunulia nyama angalau kilo mbili kwa siku, huyo mwanamke lazima ataachika kumtafuta mwanaume wa kumtimizia haja hiyo. kwa kuwa hufanya hivyo kwa kubahatisha, hujikuta anazalishwa na wanaume mbalimbali, na hivyo kuza ovyo ovyo.
Jamani tusiongee kwa sababu ya upambe au kutetea kabila kwani hata mimi ni mnyiramba tena wa Kiomboi, Munkonze ndio kijiji chetu na nina mifanohai kabisa ya wale ambao wananizunguka, tustetee tu! wanyiramba noma jamani ila mi nawapenda kwani hata mke wangu ni mnyiramba na nimemkuta na watoto 2 ambao kila mmoja ana babake.
Katika kajitafiti kangu kafupi nimegundua kuwa hakuna kabila inapenda kula mzigo kama wanyiramba awe wa kike awe wa kiume kazi ni ile ile halafu kwa kuzaa watoto holela, unakuta kila mtoto ana baba yake au kila mtoto ana mama yake.
Ivi tatizo liko wapi? wana Jamii naomba mchanganuo wenu!
Kama ulifanya utafiti, tunategemea utuambie sababu ya tatizo lililokufanya ufanye utafiti.
chochote kitakachosemwa na mtu ambaye hajafanya utafiti, kitakuwa cha uongo ama ni UTANI TU
Utafiti uliofanywa na Mwita C.K (1899) kuhusu tatizo hilo aliweza kugundua matatizo yafuatayo:
Kwa suala la kula mizoga, ni kwamba wanapenda sana nyama. Hata wanyama wengine ambao kwa asili hawaliwi na binadamu, wao huwala. Mfano; Punda, Fisi. Wana kisingizio cha kusema kuwa hata "fisi ni ngozi, ndani ni nyama".
Kwa tatizo la kuzaa ovyo, Mwita alisema kuwa kwa asilimia kubwa linasababishwa na tabia ya kupenda nyama. Hivyo basi, binti wa kinyiramba akiolewa, kama huyo mwanaume hana uwezo wa kumnunulia nyama angalau kilo mbili kwa siku, huyo mwanamke lazima ataachika kumtafuta mwanaume wa kumtimizia haja hiyo. kwa kuwa hufanya hivyo kwa kubahatisha, hujikuta anazalishwa na wanaume mbalimbali, na hivyo kuza ovyo ovyo.
Mwenzio kakwambia kula mzigo wewe unaleta kula mizoga, umeishia la ngapi?
Utafiti wako fake,nnao ndg familia km kumi.wanyiramba n'a wamezaa ndani ya ndoa n'a watoto wote wa baba na mama huyo huyo,muache kufanya utafiti wenu kwenye mabaa
na huu ndio ukweli mtamuWanyiramba ni moja ya makabila ambayo yanafuata matrilineal system: yaani mama ndiye mkuu wa kaya; na watoto wanaozaliwa si wa baba bali ni wa mama: wanaegamia kwa kaka zake (wajomba wa watoto). Hivyo basi, mama wa Kinyiramba - hata kama ameolewa - ndiye anayeamua nani amzalishe (ampe mtoto). Mwanaume anakuwa 'dume la mbegu tu'. Na kwa mtindo huo mwanamke anapenda kuchanganya 'mbegu' mbalimbali kwa watoto wake. Akikupenda wewe atapenda uzae naye ili kaka zake wapate mbegu tofauti na bila shaka - kwa mtazamo wake - iliyo nzuri kutokana na sifa alizokupendea: wema, umbile la mwili, nk. nk.
hivi wema nae ni mnyiramba sio???Kama ulifanya utafiti, tunategemea utuambie sababu ya tatizo lililokufanya ufanye utafiti.