Ivi zile tamthilia zinazo onyweshwa ktk ma tv station zina downlodika ?

Ivi zile tamthilia zinazo onyweshwa ktk ma tv station zina downlodika ?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Kuna tamthilia 2 ivi huwa nazikubali sana isivyo bahati siku pataga wasaa wa kuzimalizia na kuzifuatilia coz nilikuwa na muda finyuu sanaa alafu ilikuwa ni kitambo sanaa

Sasa ivi i wiah nizione maana zitanikumbusha mbali pia tamthilia zenyewe ni hizi

Rebeca hii ilikuwa inaonyweshwa Itv enzi iO miaka ya 2006 au 2007 kama sikosei kulikuwa na mdada mle alikuwa anajua sana kudeka

La revancha hii ilikuwa inaonyweshwa na Tbc aisee hii sasa ndio ili bamba ilikuwa ina action ndani yake
 
**** ramthilia 2 ivi huwa nazikubali sana baati mbaya enzi izo siku pataga wasaa wa kuzimalizia na kuzifuatilia coz nilikuwa na muda finyuu sanaa alafu ilikuwa ni kitambo sanaa

Sasa ivi i wiah nizione maana zitanikumbusha mbali pia tamthilia zenyewe ni hizi

Rebeca hii ilikuwa inaonyweshwa Itv enzi iO miaka ya 2006 au 2007 kama sikosei kulikuwa na mdada mle alikuwa anajua sana kudeka

La revancha hii ilikuwa inaonyweshwa na Tbc aisee hii sasa ndio ili bamba ilikuwa ina action ndani yake
Ingia google au youtube utazipata lakini kwa lugha yao na maneno ya kingerez as subtitles
 
Kuna ile michezo ya itv ya Darubini, funiko, safari, cobra squard
Kuna Jasmin ya TBC 1 ya kipindi kile
Nyongeza: Kipindi cha Maisha Plus

Hivi tunavipata wapi wakuu! Mara ya mwisho kufuatilia ilikuwa 2009

Nahitaji kuanza upya kutazama!

Tamthiliya ya Yang's Family ya Star Swahili iliyo katika lugha yetu mama ninaipataje? Vipande vyake vyote, msaada tafadhari!
 
Rebeca c wanaionyesha kwenye ITV kila jumamosi saa 3 uck na jumapili saa 1:30 uck mkuu
 
Ingia google au youtube utazipata lakini kwa lugha yao na maneno ya kingerez as subtitles
Lugha yao ni ipi ?

Una uhakika muuliza swali anachouliza zote ni za magharibi ya mbali na sio hapahapa Bongo ? Achana na hio ya mwisho naongelea ya kwanza
 
Back
Top Bottom