luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ingia google au youtube utazipata lakini kwa lugha yao na maneno ya kingerez as subtitles**** ramthilia 2 ivi huwa nazikubali sana baati mbaya enzi izo siku pataga wasaa wa kuzimalizia na kuzifuatilia coz nilikuwa na muda finyuu sanaa alafu ilikuwa ni kitambo sanaa
Sasa ivi i wiah nizione maana zitanikumbusha mbali pia tamthilia zenyewe ni hizi
Rebeca hii ilikuwa inaonyweshwa Itv enzi iO miaka ya 2006 au 2007 kama sikosei kulikuwa na mdada mle alikuwa anajua sana kudeka
La revancha hii ilikuwa inaonyweshwa na Tbc aisee hii sasa ndio ili bamba ilikuwa ina action ndani yake
Mkuu nimejaribu sanaa pale youtube utapata episode chache sanaaIngia google au youtube utazipata lakini kwa lugha yao na maneno ya kingerez as subtitles
Lugha yao ni ipi ?Ingia google au youtube utazipata lakini kwa lugha yao na maneno ya kingerez as subtitles