If you realy want to go step by step,
I will suggest to start at the beginning of life. As we all know that evolution still fails to tell us how life began!
Ndio maana nikauliza, Hivi jicho lili evolve kutokea nini? Evolution, at all time imekuwa inazungumzia maoneo na mabadiliko ya nje!!
I have ever come accross an evolutionist aniambie, Je, moyo uli evolve kutokea nini na/au kitu gani na/au wapi? Wako bize kuzungumzia mwili wa nje! Inashangaza hata wewe hulioni hilo!!
Sasa turudi kwenye mada yako, na tujiuluze maswali kadhaa:
Hivi Jicho kabla ya kuwa jicho, lilikuwa kitu gani na lina umbo gani na jina gani? Nipe transitioning ya evolution ya JICHO.
Moyo wako, kabla ya kuwa moyo, ulikuwa kitugani na/au una umbo gani na/au unaitwa nini? Niletee transitioning yake.
Ndio maana nilisema, hivi LIFE ilianza wapi? Kwanini inashindikana kujibu hili swali?
Mwisho, kama ulisoma post yangu kwa makini, nilisema, nitazungumzia mengine uliyo sema muda si mrefu. Kwanini nilisema hivyo? Ni kwasababau, huwezi kuzungumzia mwili wa binadamu na jinsi ulivyo complex kwa kutumia mistari na/au paragraph moja, mbili au tatu. Hapo tutakuwa tunadanganyana.
Sasa consider my question, na uone ni jinsi gani evolution inajibu na kama evolution itaweza kujibu:
Hivi Jicho kabla ya kuwa jicho, lilikuwa kitu gani na lina umbo gani na jina gani?
Moyo wako, kabla ya kuwa moyo, ulikuwa kitugani na una umbo gani na unaitwa nini?
Ndio maana nilisema, hivi LIFE ilianza wapi?
Kuna maswali mengi sana ambayo kama nikiweka hapa, yatasababisha mtafaruku. Why? Because, maswali hayo, huwa hayajibiki. I am not trying to be affirmative, but, I want us to see the truth kwa kupitia maswali and lets face the facts through questions.
Please respond to my questions, if you can. Ukishindwa, it is ok, wewe si wa kwanza kushindwa kujibu maswali.