Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
na viwanja vingi vya soka hapa nchini viko chini ya milki yao but kuviendeleza wanashindwakwa nini visirudishwe serikalini?
Weweeeeeeeeeeeee, CCM every where,huyo anayemwaga mahela jangwani si alipigwa chini kuwa mbunge wa Kigamboni?,aliyewahi kuwa meneja wa jangwani huko nyuma akaishia kuwa mbunge wa Cuf huko kigamboni si alipiga U turn na kurudi CCM,yule jamaa aliyewahi (RIP) kuwa mbunge wa Kilombelo zamani si alitokea Jangwani,orodha ni ndefu sana,ukija msimbazi,profesa si mbunge wa ccm, au yule doctor bingwa wa mifupa wa Ukuryani si mbunge wa ccm. Au umesahau Tyson alikuwa mbunge wa ccm,au huyu dogo aliyekandamizwa jela na kuachiwa,huna habari kuwa alikuwa anataka kugombea ubunge kupitia ccm.
Throw back..............kaseja anajuta kwenda yanga ...kwa sababu kiukweli ..haipendi yanga ..kama anavyosema mwenyewe kafuata pesa....cha pili ni kuwa ameondoka simba ambako alikuwa akiheshimiwa kwa miaka 6 ...kama kipa chaguo namba moja....na kipenzi cha mashabiki....ameenda yanga ambako kazi ya kwanza ngumu inayomkabili ni kujenga imani kwa mashabiki wake wapya.....natabiri mwisho wa kaseja.......
leo kipa aliyechukua namba yake simba ,AMANI simba...ameonekana kumudu mchezo hasa baada ya aliyekuwa akitegemewa kuwa simba namba 1....barthez...kufungwa kirahisi na TUSKER...ni wazi...kuwa simba ni nyumbani kwa makipa na ma strike wazuri ....akitoka dhahabu anakuja almasi.....
kaseja leo alikuwa uwanjani na wenzake wa yanga na alionekana myonge...tofauti na enzi zake simba ambazo zilijaa raha...ni wazi kuwa pesa kapata lakini na kazi anayo.........kama hautakuwa mwisho wake ..mwakani ataomba kurudi simba hata bure....maana mkataba wake na yanga ni mwaka mmoja tu!!!!