MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,771
- 4,065
Kuna tetesi kuwa Ivo Mapunda amefukuzwa na St. Georges kimya kimya na kwamba Mkuu Ivo keshatua Dar kimya kimya,
Wakulu tupeni Khabari ya Nambari one wetu na nini anataka kufanya.
http://www.goal.com/en/news/89/afri...georges-axe-former-tanzania-custodian-mapunda