LOOL kwani smartphone hana? Aangalie tu isije dumbukia chooni.Hamishia tv chooni, akianza tu we shika sabuni
Charles hazeeki!!!Hii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa mara na zile kucha ndefu zenye rangi mimi hoi hasa ukiwa unabishana na Charles Hiraly mimi hoi.
Umenisoma