Hii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa mara na zile kucha ndefu zenye rangi mimi hoi hasa ukiwa unabishana na Charles Hiraly mimi hoi.
Umenisoma
Basi bado ni mzuri, mana kuna sura hata uzipige. Make up zinagoma.Ukimuona live na hiyo sura asipopiga make up ndo utaamini usikiamini kila unachokiona
Hamishia tv chooni, akianza tu we shika sabuni
Raymond Nyamwihula ATAKUUA. Anampenda sana mkewe kila wakati anamposti. Haachagi kuweka hii Hash Tag...Hii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa mara na zile kucha ndefu zenye rangi mimi hoi hasa ukiwa unabishana na Charles Hiraly mimi hoi.
Umenisoma