B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,832 Reaction score 2,390 Dec 7, 2009 #1 Habari kutoka blog ya michuzi zinaeleza timu ya Ivory Cost huenda ikaweka kambi nchini Tanzania. Je kwa timu ya Afrika kuweka kambi hapa nyumbani, Taifa litanufaika na chochote au ni kuwaona wachezaji nguli wa Ulaya tu?
Habari kutoka blog ya michuzi zinaeleza timu ya Ivory Cost huenda ikaweka kambi nchini Tanzania. Je kwa timu ya Afrika kuweka kambi hapa nyumbani, Taifa litanufaika na chochote au ni kuwaona wachezaji nguli wa Ulaya tu?