tuma hapa tuone woteNI-PM nikutumie namba yake aiseeeee
kuzaa a ni majaliwa yake molaaaaa'''''''' in nyoshi el saadat voiceNasikia tangu aolewe hajabahatika mtoto
HmmmmmmNasikia tangu aolewe hajabahatika mtoto
Jamaa bunduki haina risasiNasikia tangu aolewe hajabahatika mtoto
Huyo no make wa MTU mkuu, nenda taratibu!Toka nimejiwa kusoma magazeti na kuangalia taarifa ya habari kupitia TV nimejifunza kuwa asilimia kubwa ya dada watangazaji wana sifa za uzuri, urembo na tabasamu.
Kuna huyu Ivvona Kamtu wa Azam tv nilianza kumpenda toka akiwa Star tv, juzi niende kumtafuta pale Azam tv walinzi wakanizuia. Please mwenye namba yake jamani anisaidie.
Hivi vituo vya habari ni balaa kwa machaguzi ya watangazaji.
haifunguki nilitamani kumuona shem wanguHuyu dada nii mke wa mtu na mmewe anaitwa Raymond Nyamwihula naye ni mtangazaji pia.
mume please picha ya shem
mume please picha ya shem