Iwafikie wote wanaobabaisha sekta ya elimu tz

Team R

Senior Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
186
Reaction score
33
matokeo kidato cha pili ya metoka.ila tatzo kubwa linalojitokeza kwasasa ni njinsi waziri wa elimu na naibu wake na taasis ya elmu inayokuwa awaelewani

waziri wa elimu (mh shukuru kawambwa) ktotoa maamuzi juu ya kurudi kwa waliofeli au kuendlea na kidato cha tatu
naibu waziri pia hatoa tamko lolote kuhsu mitihan.Ila tamko la Taifa likisema kuwa waliofeli waendlee kidato cha tatu,ila waandaliwe masomo yaziada yaani remidial class kwa wali waliofeli huku wakiendlea na masomo ya kdato cha tatu.

Taasis ya elimu nayo ikuwa mbli na mada hii,ila kauli yao inasema wanafunzi waliofeli wanapaswa kurudi ili kupunguza ongezeko La kufeli kidato cha nne katka mtihan wa Taifa.
Pia wanasema kuwa waliofeli awamu ya pili wanatakiwa kuondlewa katka (formal education) na kuendlea na masomo ya ufundi na veta.Ambpo wanaweza kusma pia na kuwa na usawa na wa formal education.

SWALI; je wanafunzi wa mwaka huu (wanaoingia kidato cha tatu 2014 )wasiporudishwa,vp kuhusu wanafunzi wa Mwaka jana waliorudishwa 2013? Watafanywanye ?
 
Maoni yenu ni muhmu wanajf katka hli tatzo la Taifa leo
 
Kaka, wewe kumbe ndio umejua leo kwamba serikali inatoa kauli za kuchanganya? Mimi nilivyo sikia redioni waziri wa elimu amesema kwamba " walio feli waendelee kidato cha tatukwa kusoma remedeal, wale walio kalili mwaka jana wakafeli tena mwaka huu basi waondolewe kwenye mfumo wa kawaida wa elimu. Kwa serikali yetu ninavyo ijua bado nape nae atakuja na maelekezo yake, kinana nae yake na mwisho komba nae atatoa tamko lake. Hii ndio Tz.
 

Kumbe na form two kuna KUCARRY?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…