Kuitambia Palestina pekee hakusaidii kitu kwa sasa. Badala yake:Kuna tunzo hutolewa kwa wahusika hata kama hawapo.Vile vile zipo na adhabu ambazo hukumu hutolewa kama mhusika yuko mbali.
Kwa upande wa Netanyahu inaonesha amekubali kazi ya kuwafuta Hamas imekuwa ngumu hata kama ana nguvu kubwa kuwashinda wao.Amejaribu kuwaua viongozi wao lakini kila siku anaona mapigano yanaendelea.
Ameuwa watu wengi lakini walio hai hawaonekani kurudi nyuma.Kinyume chake viongozi wa mataifa mengi duniani wameazimia kuitambua Palestina baada ya miaka miwili ya mapambano na Hamas.
Katikati ya vita hivi Netanyahu amekuwa akiwashutumu wale wanaotaka kuitambua Palestina kwamba kufanya hivyo itakuwa ni kuwapa zawadi Hamas kutokana na kazi waliyofanya kuanzia oktoba 7.Ameshagombana na waziri mkuu wa Ausralia,waziri mkuu wa UK,Belgium na wengine wengi.
Lakini kama zawadi hiyo wanastahiki kuipata Hamas kwa kutokubali kukaliwa ardhi yao,kwanini Netanyahu aizuie,na itakuwa ni kwa manufaa ya nani,.
Mapendekezo yako ni mazuri sana na tutayafikisha.Kuitambia Palestina pekee hakusaidii kitu kwa sasa. Badala yake:
1. Wainyime kabisa Israel misaada yote ya kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kiutu.
2. Misaada yote waliyokuwa wanatoa kuisaidia Israel waihamishie kwa Palestina.
3. Waache ku deal na silaha za Iran. I mean waiache Iran ijitengenezee silaha zake za kujilinda kama vile nyuklia, makombora ya masafa marefu, drones nk ili aendelee kuinyoosha sawa sawa Israel na bwana wao Marekani.
4. Wahakikishe Netanyahu akikanyaga nchi yoyote kati ya hizo zinazodai zinataka kuitambua Palestina, anakamatwa, na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu unyama, ukatili na ufedhuli anaoufanya sasa hivi.
Kinyume na hapo, kuitambua Palestina pekee bila ya action hizo nlizoandika hapo juu, itakuwa ni sawa na kumpigia gitaa bata, au kumpigisha mswaki mbuzi. Kamwe Netanyahu hawezi kuacha kuuwa kina mama na watoto ili kuendelea kuficha udhaifu wake wa uongozi.
Kuitambia Palestina pekee hakusaidii kitu kwa sasa. Badala yake:

🤣🤣🤣