Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya yalikuwa ya kupambana ndani kwa ndani kama wanavyofanya wengine ie Mpina.Hapa dalili za Rushwa ya mama ni kubwa,wananchi tu mpuuze.