Heading Ina utata kidogo!! Pengine umesahau kuweka Question mark kwenye Sentensi ya kwanzaNimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya yalikuwa ya kupambana ndani kwa ndani kama wanavyofanya wengine ie Mpina.Hapa dalili za Rushwa ya mama ni kubwa,wananchi tu mpuuze.
HakikaEndapo Mbowe asingempendelea Sugu haya yasingetokea 🐼
Uko sahihi. Halafu swali jingine: Matatizo ya Mbowe CHADEMA ndiyo yameigeuza CCM iwe chama kizuri ghafla namna hii?Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya yalikuwa ya kupambana ndani kwa ndani kama wanavyofanya wengine ie Mpina.Hapa dalili za Rushwa ya mama ni kubwa,wananchi tu mpuuze.