Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema .
Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA ,iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo
Viva Tundu lissu , Mungu ibariki Tanzania.
2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema .
Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA ,iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo
Viva Tundu lissu , Mungu ibariki Tanzania.
Kura ziko live hakuna kifichoUpdate za matokeo vipi mkuu boni yai nasikia kura za wizi anazitolea nyuma ma-takoni
Mwelekeo ukoje mkuu wengine tumesha timkia kwny kaz za mama abduliKura ziko live hakuna kificho
Kaita maandamano mara 7 hatukuona popote ulipo ila ulijifunika shuka ukawa unamchungulia kwenye simu!2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema .
Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA ,iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo
Viva Tundu lissu , Mungu ibariki Tanzania.
Siku nyingine msiwe mnailalamikia serikali kwenye uchaguzi wa vyama vyenu2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema .
Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA ,iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo
Viva Tundu lissu , Mungu ibariki Tanzania.
Kitenge anasema:2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema .
Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA, iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo
Viva Tundu Lissu , Mungu ibariki Tanzania.
Yote yalifanyika ila wameshindwa na mbinu zao zikabuma.Siku nyingine msiwe mnailalamikia serikali kwenye uchaguzi wa vyama vyenu
Kulia lia kulikua kwingi na lawama kwa Rais
pesa za mama Abdul,mara system itaingilia uchaguzi,mara ccm inamtaka flani