winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 379
- 603
Natafuta mke/mume
Madhaifu yangu
________________
Hasira za karibu
Sipendelei ujinga
Nimeachika (uchumba/ndoa) mara nne
Nachukia uongo
Nina kinyongo
Mchoyo kidogo
N.k
Mazuri yangu
__________________
Nina upendo na watu wote
Nina samehee haraka
Sina tabia za umalaya/uhuni
Miaka yangu ni xxx
Nia biashara tayari
Nimeajiriwa
Ni mcha Mungu
Nina hofu ya Mungu.
Madhaifu yangu
________________
Hasira za karibu
Sipendelei ujinga
Nimeachika (uchumba/ndoa) mara nne
Nachukia uongo
Nina kinyongo
Mchoyo kidogo
N.k
Mazuri yangu
__________________
Nina upendo na watu wote
Nina samehee haraka
Sina tabia za umalaya/uhuni
Miaka yangu ni xxx
Nia biashara tayari
Nimeajiriwa
Ni mcha Mungu
Nina hofu ya Mungu.