Iwe Slaa au Magufuli, Bongo Fleva na Movie watashika adabu

Iwe Slaa au Magufuli, Bongo Fleva na Movie watashika adabu

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Hawa watu wa bongo fleva na bongo movie tamati yao ya kujitamba na kuitaja Ikulu ovyo ovyo imewadia rasmi. Rais JK ndio rais pekee aliyeirahisisha ikulu na watu wakaanza kuiona ni sehemu ya kawaida sana. Aliwaingiza Ikulu watu wasiokuwa na hadhi kama Fella, Diamond, JB, Wema n.k.

Sasa muda huo umekwisha, maana akiingia Dr Slaa watabaki kuiona kwenye Tv na Hivyo hivyo akiingia Dr Magufuli wataisoma Ikulu kwenye magazeti.

2016-2020 Ni mwaka mwiba kwa wasanii wote Tanzania.
 
Wasanii wameanza kuingia ikulu toka enzi za mchonga.
 
Na Dr Slaa alivyo wapania hawa vidampa
Kikwete+na+Ali+na+Abdu+Kiba.jpg
 
Kwanza unatakiwa kufahamu kuwa kuamini au kudhani Slaa atagusa vyumba vya ikulu ni zaidi ya kuchanganyikiwa!

Pili hii ni sababu nyingine kwanini kura za wasanii wengi hamuwezi kuzipata labda za weusi tuu maana nyie ilani zenu ni chuki na si maendeleo!

Tatu unatakiwa kujua wasanii hawato acha kwenda ikulu kama kuna sababu na hawakuanza kwenda kipindi cha JK!
 
Msanii anayejitambua hahitaji kwenda Ikulu. Ikulu ndiyo itamuhitaji msanii huyu aende Ikulu.
 
Ulitaka wasanii wasiingie Ikulu wakati baba Riz mwenyewe ni msanii!
 
Wasani na wachezampira wamebebwa sana ila hawabebeki.
Ona juzi kati uhuru kawakaribisha wanafunzi ikulu ila huyu jk hajawahi fanya hiyo.
Mambo ya Wasani wapeleke hukooooo shnz typ
 
Heshima ya ikulu lazima irudi... Sio unatoka big brother kuoga uchi kwenye runinga kisha ukaingie ikulu... Kwa kweli hadhi ya ikulu ilishuka sana
 
Wasanii wana nafasi yao kama wahamasishaji. Ila wasitegemee sana utawala wakaze kama WAP pia
 
Usanii ni kazi kama kazi zingine na ni ajira ambazo kwa takwimu za umoja wa mataifa na kwenye jarida la Forbes ni ajira yenye malipo makubwa kwa muda mfupi na yenye kuwafanya waliojiajiri huko kuwa maarufu sana kuliko kazi zingine nyingi zinazooneka ni za maana,sasa nitamshangaa Rais asiyetambua uwepo wao kundi hili kubwa na la maana sana ktk jamii na ni walipaji wa kodi wazuri kama wakiwekewa utaratibu mzuri.
 
nyota ikishishang'aa haijarishi nani yupo ikulu Bali yeyote lazima akae..wish good to mond..ikulu will always be home to him..?!
 
Back
Top Bottom