Hawa watu wa bongo fleva na bongo movie tamati yao ya kujitamba na kuitaja Ikulu ovyo ovyo imewadia rasmi. Rais JK ndio rais pekee aliyeirahisisha ikulu na watu wakaanza kuiona ni sehemu ya kawaida sana. Aliwaingiza Ikulu watu wasiokuwa na hadhi kama Fella, Diamond, JB, Wema n.k.
Sasa muda huo umekwisha, maana akiingia Dr Slaa watabaki kuiona kwenye Tv na Hivyo hivyo akiingia Dr Magufuli wataisoma Ikulu kwenye magazeti.
2016-2020 Ni mwaka mwiba kwa wasanii wote Tanzania.