Iweje simu za mezani Ttcl walizipatia sana na zinasikika vyema na washindwe kuboresha simu za mkononi?

Iweje simu za mezani Ttcl walizipatia sana na zinasikika vyema na washindwe kuboresha simu za mkononi?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Jamani inakuwaje kuwaje ukitumia simu za mezani za ttcl mambo poa,hata kwa sie wa siku nyingi walileta mradi wa simu za box unadumkiza sarafu unapiga,nazo zikawa safi na wakaweza ila za mkononi zinasuasua,tatizo nini?bora waniajili nikaongezee nguvu.
 
Mezani za wazee,baba mwenye nyumba,no competion
Mobile phone,vijana watu wote,serikali haijawahi kushinda vita ya competion ya biashara kirahisi refer ATCL
 
Back
Top Bottom