wewe hadi kutaka mwanamke akulee halaf wew ni mtoto wa kiume huwa unawaza nini kwani?Habari zenu wakuu?
Moja ya vitu vinavyonishangaza ni Wawekezaji kwenye Sekta ya Hospitality hasa hotelia, mtu anawekeza kwny ujenzi wa Hoteli kubwa au kupangisha ghorofa zima la PSPF lakini hana wataalamu wa ku-market hiyo biashara hasa kimataifa.
Hawa watu huwa wanawaza nn?
Mkuu huu ni wivu wa wazi. Uzi kuhusu mwenza nimepost jukwaa na Mapenzi na Mahusiano, iweje uutumie kujibia hoja jukwaa lingine? huwezi kutenganisha mambo??wewe hadi kutaka mwanamke akulee halaf wew ni mtoto wa kiume huwa unawaza nini kwani?
mkuu niliilkua naweka kumbukumbu sawa tuMkuu huu ni wivu wa wazi. Uzi kuhusu mwenza nimepost jukwaa na Mapenzi na Mahusiano, iweje uutumie kujibia hoja jukwaa lingine? huwezi kutenganisha mambo??