Mkuu tunaomba tujadili hii mada ambayo imesambazwa UK ,hasa juu ya viongozi wa CCM tawi UK,Txt msg imetumwa jana
"Siamini mama kumuacha mwanae wa miezi sita ,kijana wa miaka tano,na binti wa miaka 13 na kwenda dodoma kisa eti kaahiwa ubunge na u dc na kigogo ikulu.hivi ccm wanalijua hilo,kwamba yeye keshaula wengine walie tu.ama kweli chama kina wenyewe,hata siri hamna kama mnampa mtu cheo ,uk yote inajua mumewe avyotamba na kuonyesha watu text aliyotumiwa na Rais,mmm duniani kuna mambo"
Hapo katikati ndiyo msg iliyosambaa jana kabla ya watu wachache kutoka UK walioteuliwa kwenda Chimwaga kwa ajili ya mkutano wa ccm,Wadau wenzangu Tanzania imefikia mtu kutoka UK kwenda Tanzania ili kwamba akapate wadhifa.Je jopo la wanasiasa katika jambo forum manasemaje?kwa sababu hakuna kitu alichofanya katibu tangu achukue uongozi amebakia kujivuna tu.Je mheshiwa anaangalia nini katika kuwapatia post?Pia ccm london /UK imekufa kabisa wamebakia wa kuokoteza Weka kwenye ulingo wa siasa