EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
msanii anayetamba na kibao maarufu kwa jina la "NAONGEA NA RIDHI ONE" Kutoka jijini mbeya amekashifu harakati za mh. Sugu alipoulizwa kwanini ameshndwa kuonesha support kwa kushiriki show za antivirus kama walivyofanya wenzie Isanga familiy.
Majb aliyotoa ni kwamba hawezi kushiriki show ambazo ni za kihuni kwa kuwa yeye ni mtu makini na hatokaa ashiriki kamwe.

Vinega is just a bunch of looser in da game
Nilisikiliza antvirus zote mbili na kuona ni uhuni tu, hata kama unadai haki sio kivile
Izzo bitch!!Hamnazo!