Izzo B asema yeye ni mtu makini asingeweza shiriki uhuni wa 'Antivirus Show'


tatizo lake ni mbana pua sharouharo akionekana kwenye kideo siku kapata mademu basi kazi yake ishaisha..
 
Izzo jembe......na sugu kasha fyata kwa ruge...tuone hawa wahuni wataimba nn
 
jamiiforums inaharibiwa na watu wanaotunga habari na kuziweka hapa kisha Mods wanaziacha tu pasipo kuchukua hatua ya kuzifuta.

Mtu anatoa habari kama hii kisha watu wanaomba source then anakula kona je kuna haja gani ya kuendelea kuwepo thread kama hii?

ishu kama hii ikiendelea kufumbiwa macho basi forum itaangamia.
Mods acheni kufuga upumbavu kama huu.
Jamiiforums mwanzo ilikuwa na thread makini sana.
Lakini kwa siku za karibuni watu wengi wameigeuza kama facebook tu.

tazama sasa mtu ambaye hana hatia anatukanwa na kudhalilishwa na mpumbavu mmoja aliyekurupuka kuandika thread kisha amekaa pembeni kuona wapumbavu wanavyobishana huku wapumbavu wengine wakikaa kimya bila kuifuta thread hiyo...
 
I was right. Since day one, sija approve hii movement kwenye mind yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…