Izzo B na Bella bonge moja la ngoma

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Hope hii Ngoma itawavusha kwenda level ingine hapa bongo



Ipo vizuri kuanzia beat,mashairi na hata video..

All the best
Izzo na Bella
 
Sorry huyo Half cast Kumchumzi au mie ndio naangalia vibaya? Izzo ndio anasuza babu juma?
 
Hakuna ubunifu wowote.....

Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.

Huyu sio Izzo ninaemjua...
 
Hope hii Ngoma itawavusha kwenda level ingine hapa bongo



Ipo vizuri kuanzia beat,mashairi na hata video..

All the best
Izzo na Bella
Ukweli wacha usemwe,Izzo kinacho mbeba ni muonekano Body,anajua kupangilia pamba,msafi but kwenye ishu ya music mmmhhhhh sio kivile saaanaaa,mashairi yake butu,melody zake hazivutiagi....nilimuelewa vizuri kwenye "Naongea na Riz1".kwingine kote anapitA pitA tu basi maisha yanaenda.
 
Hii tabia ya wasanii kutaka kufanya kila kitu kama Diamond inawakost saana. Hata hawa wanaojiita wa hip hop sasa ,, badala kufocus kwenye content wanafocus kwenye video.

Pengo la Mangwea halijizibwa .
 
-Huyu mrembo ni mzuri.
-Sauti yake sijui niifananishe na nani?
-Kifupi demu kaitendea haki chorus
-Nyimbo iko poa sana na izzo business verse ya pili na mwisho kabisa umefanya rap makini sana bado kidogo Abela akufunike kwenye song.
 
Jamaa anafanya sana matizi, gym yake ipo kitaani sinza unalipa jero tu kwa siku.
 
Hakuna kitu hapo. Nothing new. Wimbo na Video zote ni za kawaida sana, Wasanii wa Underground mara nyingi huwa ndio wanakujaga na Nyimbo na Video za namna hii. Si sawa kabisa kwa msanii mkubwa kuja na kitu kama hicho.
Cheap Beat, Cheap Melody, Cheap message, cheap video.
Jamaa anaimba baby, baby, baby!!
 
Hii tabia ya wasanii kutaka kufanya kila kitu kama Diamond inawakost saana. Hata hawa wanaojiita wa hip hop sasa ,, badala kufocus kwenye content wanafocus kwenye video.

Pengo la Mangwea halijizibwa .
Wa hip hop wamechoka 'kusubiria embe chini ya mnazi'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…