Izzo Biashara kashuka sana kimuziki. Namfahamu izzo toka enzi zile Mbeya na kina PC da master, izzo wa tenzi za mapenzi sio huyu wa sasa anayeimba nursery rhymes.
Huu wimbo na nyingine zote alizotoa lately hamna kitu zaidi ya kuuza sura na huyo demu, me naita nursery rhymes hizi nyimbo zao.