gerit JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 307 Reaction score 181 Feb 25, 2017 #1 Wadau weekend inaendaje!! Nilikuwa najipumzisha kwa kuchek planet bongo EATV na kuona jinsi walivyopendeza Izzo na uyo Dada wa USA. Na kwamba Izzo ameonesha kijana wa hekima sana kwa kutojitutumua na kujiweka kama mmiliki wa uyo ingawa nafasi alikuwa nayo. Kwa Mimi nionavyo wakiwa couple watafanikiwa sana in all fields sbb wanamatch vema. Wakuu mnaonajeeee????
Wadau weekend inaendaje!! Nilikuwa najipumzisha kwa kuchek planet bongo EATV na kuona jinsi walivyopendeza Izzo na uyo Dada wa USA. Na kwamba Izzo ameonesha kijana wa hekima sana kwa kutojitutumua na kujiweka kama mmiliki wa uyo ingawa nafasi alikuwa nayo. Kwa Mimi nionavyo wakiwa couple watafanikiwa sana in all fields sbb wanamatch vema. Wakuu mnaonajeeee????
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 899 Feb 25, 2017 #2 Weka picha, huyo wa us hatumjui
gerit JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 307 Reaction score 181 Feb 25, 2017 Thread starter #3 Mwenye picha hizo jirani atupie.
Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,289 Reaction score 9,748 Feb 25, 2017 #4 Ongeza nyama kwenye habari na Picha
cyrustheruler JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 2,044 Reaction score 1,869 Feb 25, 2017 #5 Izzo business ndio nani ?
mimi mkali JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,794 Reaction score 1,570 Feb 25, 2017 #6 mtoto anakasura kalainiiiii
ELI-91 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 3,583 Reaction score 9,670 Feb 25, 2017 #7 This is sad, even for jf!!!
fungi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 2,539 Reaction score 4,672 Feb 25, 2017 #8 renyo said: Weka picha, huyo wa us hatumjui Click to expand...
mimi mkali JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,794 Reaction score 1,570 Feb 25, 2017 #9 gerit said: Mwenye picha hizo jirani atupie. Click to expand...
M meckxas Bono Member Joined Dec 26, 2016 Posts 46 Reaction score 17 Feb 25, 2017 #10 Naunga mkono hoja wamependeza sana
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 899 Feb 25, 2017 #11 Kweli wanapendeza
Borderlandz JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 548 Reaction score 729 Feb 25, 2017 #12 Izzo biashara mapenzi mubashara
pumzihaiuzwi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 3,273 Reaction score 3,083 Feb 25, 2017 #13 Umeona uje uku ukasifie izo mbeya boy[emoji23][emoji23] nakuonaa unakabunyua tuu!
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Feb 25, 2017 #14 Hao ni couple tayari
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 Feb 25, 2017 #15 Izzo na Bella Music ni mtu na mchumba wake.
G GABRAISON5 JF-Expert Member Joined May 13, 2013 Posts 208 Reaction score 44 Feb 25, 2017 #16 ninawasiwasi mtoa mada ndo izo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Feb 26, 2017 #17 nipe nipe namba ya abella music nimpigie...maana izzo business amesema huyo mtoto mkali sio mupenzi wake
nipe nipe namba ya abella music nimpigie...maana izzo business amesema huyo mtoto mkali sio mupenzi wake
Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,782 Reaction score 3,199 Feb 26, 2017 #18 Mnamuona Izzo mshamba sana au
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Feb 26, 2017 #19 Izzo anakula kitu laini aiseee
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,526 Reaction score 3,341 Feb 26, 2017 #20 Itakua kama Yale ya dai na zari mwanzoni