Izzo Business na Yule mdada wa US wangekuwa couple tu

Izzo c anakula mtt wa
Pale mjengon mawingu fm
Deeand au walimwagana
 
Izzo c anakula mtt wa
Pale mjengon mawingu fm
Deeand au walimwagana
Dee andy Alikuwa anapakuliwa na Godzilla, ila wamemwagana juzi baada ya Zizi kuzaa na mwanamke mwengine
 
napenda sana kpande anachoimba huyo mdada kwenye song lao "umeniweza" sichoki kusikiliza
 
Hiyo anapiga kimya kimya.

Wakitangaza tu wameachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…