J Cole: Album yangu ya KOD inanipa kumbukumbu ya Tanzania, Zanzibar

J Cole: Album yangu ya KOD inanipa kumbukumbu ya Tanzania, Zanzibar

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Tarehe 20/ April 2018 Msanii wa Hip Hop na producer Jermaine Lamar Cole almaarufu J Cole anatokea kwny viunga vya Fayettevile, North Carolina, Marekani. Alitoa Album yake ya tano iitwao KOD yenye kirefu cha Kids On Drugs, Kill Our Demons au King Overdose.

Ndani ya Album hii KOD amezugumzia kuhusu tatizo la madawa ya kulevya na jinsi ya kuhandle maumivu ya maisha bila kutumia njia hatarishi km za Madawa au kujiigiza starehe zisizostahili km Xanny.

Kupitia account yake ya Twitter J Cole wakati anajibu ni swali la shabiki mmoja kuhusu ipi ni kumbukumbu nzuri kwako wakati una record Album ameitaja Tanzania, Zanzibar na pia amethibitisha kuwa aliipata jina la Album KOD kipindi yupo Tanzania, Zanzibar.

Pia amezitaja nyimbo 4 kati ya 12 alizifanya akiwa Tanzania, Zanzibar nyimbo alizo ziandika akiwa Tanzania ni The Cut off, Kevin's Heart, FRIENDS na Window Pain. Nyimbo zingine zinazopatikana kwenye Album hii ni Photograph, 1985, Moti8, BRACKETS, ATM, Once an Addict na Intro

Kwa wale walioisikiliza hii Album mtakubaliana nami ndie Album bora kutoka kwa J. Cole ukisikiliza nyimbo zote pamoja na ujumbe uliopo kwny izo nyimbo haina ubishi hii Album bora ikifatiwa na 2014 Forest Hill Drive halafu Born Sinner, 4 Your Eyez Only then Cole World: The Sideline Story.

IMG_20180427_111104.JPG
IMG_20180427_110923.JPG
Cover.jpg
%E2%80%AA%2B255%20767%20316%20240%E2%80%AC%2020180427_114614.jpg
IMG_20180420_113617_948.jpg
 
Iconic

He is one of our brother! his Album is such an inspiration.

[HASHTAG]#1985[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom