M Mtuwetu Member Joined Oct 18, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #1 Hii ni habari ya uhakika, Kamanda J.J. Mnyika amelitwaa jimbo la ubungo baada ya NEC kushindwa kuchakachua kura.
Hii ni habari ya uhakika, Kamanda J.J. Mnyika amelitwaa jimbo la ubungo baada ya NEC kushindwa kuchakachua kura.
Charles Mtekateka JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 317 Reaction score 89 Nov 2, 2010 #3 Jimbo la Ubungo - UBUNGE: John Mnyika (CHADEMA) 66,743 Hawa Ngumbi (CCM) 50,554. Mtatiro (CUF) 12,000+. Mnyika ndio Mbunge Mteule wa Ubungo. :smile-big::smile-big::smile-big:
Jimbo la Ubungo - UBUNGE: John Mnyika (CHADEMA) 66,743 Hawa Ngumbi (CCM) 50,554. Mtatiro (CUF) 12,000+. Mnyika ndio Mbunge Mteule wa Ubungo. :smile-big::smile-big::smile-big:
M Mkulima JF-Expert Member Joined Feb 4, 2007 Posts 1,236 Reaction score 1,546 Nov 2, 2010 #4 Hongera sana Mnyika. Sasa ni kazi mbele kwa mbele. Hili jimbo walijiandikisha watu karibu 450,000 na wamepiga kura kama 119,000 kwanini? Watu wote wamepotelea wapi? Hiyo ni kama asilimia chini ya 30. Haiwezekani kwa Dar watu wote wakagoma kwenda kupiga kura.
Hongera sana Mnyika. Sasa ni kazi mbele kwa mbele. Hili jimbo walijiandikisha watu karibu 450,000 na wamepiga kura kama 119,000 kwanini? Watu wote wamepotelea wapi? Hiyo ni kama asilimia chini ya 30. Haiwezekani kwa Dar watu wote wakagoma kwenda kupiga kura.
S shade Senior Member Joined Oct 29, 2010 Posts 155 Reaction score 39 Nov 2, 2010 #5 peope's? power has been demonstrated at Ubungo