Elections 2010 J.j. Mnyika mbunge mteule jimbo la ubungo.

Mtuwetu

Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
5
Reaction score
0
Hii ni habari ya uhakika, Kamanda J.J. Mnyika amelitwaa jimbo la ubungo baada ya NEC kushindwa kuchakachua kura.
 
Jimbo la Ubungo - UBUNGE: John Mnyika (CHADEMA) 66,743 Hawa Ngumbi (CCM) 50,554. Mtatiro (CUF) 12,000+. Mnyika ndio Mbunge Mteule wa Ubungo.

:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Hongera sana Mnyika. Sasa ni kazi mbele kwa mbele.

Hili jimbo walijiandikisha watu karibu 450,000 na wamepiga kura kama 119,000 kwanini? Watu wote wamepotelea wapi? Hiyo ni kama asilimia chini ya 30.

Haiwezekani kwa Dar watu wote wakagoma kwenda kupiga kura.
 
peope's? power has been demonstrated at Ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…