J.k anaposikiliza wimbo wa riz-one

Kihisia (kimoyomoyo) anaongea hivi "duuh! ila kweli aisee ngoja tu nimalize mda wangu niwaachie linchi lao"
 
nasikiliza kila wimbo wa bongo fleva unaotoka mpya-JK
 
Bahati nzuri hapati muda wa kusikiliza Bongofleva, labda taarabu. So nashauri huo wimbo uimbwe ktk mahadhi ya Taarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…