J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.

Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.

Take care wakuu. Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
 
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
 
Alikuwa wapi tangia 2005 asiwaambie?
 
ha ha ha ushauri wa kawaida sio?
 
Humu ndani watu wanajifanya wanapinga sana udini lakini hamna lolote wengi wamejaa udini mtupu..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

Swali hilo linafikirisha!
 
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

Lengo ni kuinua kiwango cha elimu tu
Ukifikiria zaidi ya hapo utapotoka
 
Kujitanua pasipo ubora ni sawa na Secondary za Kata.
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
 
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

kwani hiyo mikoa wanakotaka kwenda kuna vyuo vya TANESCO?
 
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

Hii ni muslim university, its all about muslims. Kwa hapa kwetu hii ni mikoa yenye waislam wengi...therefore ndo maana vinapelekwa huko!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…