J.K badilika fuata sheria

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Habar wanajamvi hili,
Ningependa kujua ni sheria ipi au kifungu kipi cha sheria anachotumia rais kuteua washauri wake????
Maaana hao washauri ni kama hawaijui kazi yao,na elimu ni pungufu kichwan.
Naombeni kujuzwa juu ya sheria au kifungu cha sheria kunachotumika kuteua washauri wa rais!!!!!!!!
Nawasilisha kwenu.
 
Sasa kama hata haujui hiyo sheria unamtaka JK afuate sheria gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa kama hata haujui hiyo sheria unamtaka JK afuate sheria gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ila ametunukiwa shahada ya uzamivu ya sheria,pia alishatunikiwa shahada kama hyo hyo baada ya kusolve mgogoro flan pale kenya kama unakumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…