J. Makamba live atn.

J. Makamba live atn.

EBENEZA MT

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
264
Reaction score
50
Atn. kuna bonanza la vijana linaendelea na mashwali yanaruhusiwa kwa mhe. Makamba.
 
Jamaa miezi ya karibuni amekuwa anaongea lugha inayoeleweka. Kama ataendelea hivi basi future yake iko very bright. Maana kuchangia hoja kuhusiana na hali ya umeme nchini mpaka kupongezwa na upinzani si kitu kidogo.
 
Naendelea kumpima mawazo yake mana hawakawii kubadilika hawa
 
Naona kampeni za urais 2015 zimeanza.
 
Back
Top Bottom