EBENEZA MT JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 264 Reaction score 50 Jul 17, 2011 #1 Atn. kuna bonanza la vijana linaendelea na mashwali yanaruhusiwa kwa mhe. Makamba.
MCHONGANISHI JF-Expert Member Joined May 28, 2011 Posts 372 Reaction score 364 Jul 17, 2011 #2 nimemcheki mshikaji ana kidhungu kizuri
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jul 17, 2011 #3 Jamaa miezi ya karibuni amekuwa anaongea lugha inayoeleweka. Kama ataendelea hivi basi future yake iko very bright. Maana kuchangia hoja kuhusiana na hali ya umeme nchini mpaka kupongezwa na upinzani si kitu kidogo.
Jamaa miezi ya karibuni amekuwa anaongea lugha inayoeleweka. Kama ataendelea hivi basi future yake iko very bright. Maana kuchangia hoja kuhusiana na hali ya umeme nchini mpaka kupongezwa na upinzani si kitu kidogo.
Laurence JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 3,104 Reaction score 423 Jul 17, 2011 #4 Naendelea kumpima mawazo yake mana hawakawii kubadilika hawa
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Jul 19, 2011 #5 Naona kampeni za urais 2015 zimeanza.