wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
kwa muono wangu mvurugaji timu ya taifa yupo na ndio aliokuwa anamuyumbisha kocha.kwa akili ya haraka naamini ndio aliokuwa anamshinikiza kuteuwa wachezaji na kwakweli mtu yeyote timu haifanyi vizuri unashindwa kujiuzuru naye huyo alikuwa anamshinikiza asijiuzuru na si mwingine yupo tff na kiongozi ktk vilabu vya simba au yanga