J malinzi mchawi kwenye timu ya taifa yupo

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
kwa muono wangu mvurugaji timu ya taifa yupo na ndio aliokuwa anamuyumbisha kocha.kwa akili ya haraka naamini ndio aliokuwa anamshinikiza kuteuwa wachezaji na kwakweli mtu yeyote timu haifanyi vizuri unashindwa kujiuzuru naye huyo alikuwa anamshinikiza asijiuzuru na si mwingine yupo tff na kiongozi ktk vilabu vya simba au yanga
 

sasa hapa unataka tujadili nini..
 
unaongea umbea hapa watu tunataka mabadiliko...wewe unaleta urojo hapa....kajambe ulale huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…