wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Hawezi chochote zaidi ya kuharibu soka, ana kiburi na hujuma kwa kila kilabu kinachotaka kupiga hatua mbele mfano suala la Muro na barua ya tff ya kishenzi iliyojaa vitisho, kiujumla hili dubwana linaendesha soka kama danguro.itakumbukwa aliweza kuitia hasara TFF kwa kupanga ofisi katika jengo la PPF kwa gharama kubwa ili hali ofisi zipo karume na mpaka alipokuja afisa wa fifa au caf kuhoji kwa nini upanga hapa wakati ofisi ipo?
sasa nawauliza wadau kwa hili Malinzi anafaa kuongoza mpira hapa nchini? mimi muono wangu ni mpenda starehe kwa kutumia pesa za taasisi hiyo anayoongoza.
Tumuhukum kwa hili moja tu uliloliita kosa japo hatujui kwa nini waliamua kupanga mjini.itakumbukwa aliweza kuitia hasara TFF kwa kupanga ofisi katika jengo la PPF kwa gharama kubwa ili hali ofisi zipo karume na mpaka alipokuja afisa wa fifa au caf kuhoji kwa nini upanga hapa wakati ofisi ipo?
sasa nawauliza wadau kwa hili Malinzi anafaa kuongoza mpira hapa nchini? mimi muono wangu ni mpenda starehe kwa kutumia pesa za taasisi hiyo anayoongoza.
Saga sumu ya chupa unywe!itakumbukwa aliweza kuitia hasara TFF kwa kupanga ofisi katika jengo la PPF kwa gharama kubwa ili hali ofisi zipo karume na mpaka alipokuja afisa wa fifa au caf kuhoji kwa nini upanga hapa wakati ofisi ipo?
sasa nawauliza wadau kwa hili Malinzi anafaa kuongoza mpira hapa nchini? mimi muono wangu ni mpenda starehe kwa kutumia pesa za taasisi hiyo anayoongoza.