J. Rugemalila na Rushwa Ya Escrow: Imekaaje Hapa?

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
480
Reaction score
128
Bwana James Ruge mmliki wa kampuni ya VIP Engineering anatuhumiwa kugawa mshiko unaosadikiwa ni rushwa kwa wajamaa mnaowasikia wa Escrow. Jana tumeshuhudia wengine watatu wakipelekwa mahakamani kwa mshiko alioutoa bilionea huyu.

Swali langu: Kwa ujuaji wangu finyu wa sheria, sheria inasema MTOA rushwa na MPOKEAJI wote wana makosa ya kujibu. Hapa imeekaaje sasa mbona James....
 
Ndy yangu pole sana Sheria za Bongo sikuzote ni kwa ajili ya Masikini na wenye vipesa vya kawaida. Huyu Rugemalila haguswi ndio wenye nchi hao. Cheza na Ruge Billionear la Kihaya linalogawa pesa Kuanzia Ikulu, Mahakamani hadi kanisani. Jamaa ana jeuri wala usiombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…