J2 mangoma ya kisauzi Wasafi FM

J2 mangoma ya kisauzi Wasafi FM

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Hili pindi la mangoma ya kisauzi kila J2 Wasafi FM kwangu ni balaa sana, kiufupi wasauzi wanamabiti mazito na ya maana sana ila sijui why ngoma zao hazivumi.

Ukiangalia hata biti za wimbo wa mama amina wa marioo na sho madjozi ni biti za kisauzi, hata huu wa harmonize wa anajikosha katembea na biti za kisauzi. Aisee hiki kipindi kinangoma kali sana sijui ni mimi tu ndo nakielewa.
 
Wasauzi hawana mpango na soko la nje wao soko la ndani tu na wanatoboa kinyama.
 
Kipindi kipo poa Sana Bora wanavyotuwekea mangoma ya south me nayakubali Sana.
 
Ila wasouth bwana..wameamua kutuvuruga Africa nzima na nyimbo zao
 
Mi nalikubali hilo pindi balaa

Wasouth wako tofauti sana yaani wao wanalenga soko lao la ndani tu hawana habari na masoko mengne

Hata ktk soka ni hvyo hvyo, kuna utajiri na uwekezaji mkubwa sana lakn miaka yote timu zao za Vilabu hazina mpango wa kutawala soka la kimataifa África japo miaka ya hv karibuni Mamelody ndio inahit CAF champions lg

Lakn Ukiangalia timu yao Taifa huioni afcon,chan wala michuano hata ya vijana ya África
 
Back
Top Bottom