Habari zenu?
Naomba mwenye kufahamu site yenye material mazuri zaidi ya J2ME, Java Swing Package, Android technology and Ruby on Rails..
Material hayo: Yawe ya aina yoyote video, audio, texts ..
Pia naomba kufahamu tools za kuandika na ku run application za J2ME, Java Swing Package, Android technology na Ruby on Rails.. Thanx..