Blasio Kachuchu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 721
- 438
Bonge la dada kasepa na kijiji chote. Ile kuna ya Mond isingemezwa na Aviola basi pipytida asingepoteana hivi.Wakuu hivi Pipytilda yupo? Sijamuona kitambo.
Ngoja nikamcheki huko kwa Mond🤣🤣🤣Bonge la dada kasepa na kijiji chote. Ile kuna ya Mond isingemezwa na Aviola basi pipytilda asingepoteana hivi.
Shukran mkuu,
Ukitoka kamtembelee babydrama69 ana kitu fulani, sijui kwanini hajapata upenyo kama huyu Queen wakati ana muda kwenye game ya dancingNgoja nikamcheki huko kwa Mond🤣🤣🤣
Maswali ya kiwack alafu akajibiwa dry hakuridhika sana akasusa na kuanza ongea ujinga na kumfukuza Bushoke kwenye kipindi. Alikuwa too emotional na mambo kama hayoAlimuhoji nini Bushoke mpaka apewe onyo??
Aisee alimdharau mwamba, yaani alimfukuza akiwa on air kabisa??Maswali ya kiwack alafu akajibiwa dry hakuridhika sana akasusa na kuanza ongea ujinga na kumfukuza Bushoke kwenye kipindi. Alikuwa too emotional na mambo kama hayo
Braza kama unamjua huyo bidada ..uwe unajitahidi kupima kila mara...Wakuu hivi Pipytilda yupo? Sijamuona kitambo.
Yah, ni ujinga tuAisee alimdharau mwamba, yaani alimfukuza akiwa on air kabisa??