Jabir Kigoda wa BOT

Jabir Kigoda wa BOT

Status
Not open for further replies.

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
i211_kigoda.jpg


Wale jamaa wa kule kwingine NOMA tupu

Yaani nasoma maoni ni noma ile kichizi

lakini ndio ma Z LIST CELEBRITIES WETU hawa waliobakia, maan akian Iddi wanaanza kutokwa na upara...on a flipside i hope huyu dogo ni captain of his own ship and i care less kama kaiba,kachota au sijui vipi ...sasa katika hawa ma Z-LIST celebrities wetu kwa nini wasijitutumue wakanunua walau YATCH? maana inabidi iwepo tofauti kati ya akina Freeman na ma VOGUE yao na wengine wenye YATCHS yaani badala ya kuuumizana vichwa na kunuka jasho bistro kila ijumaa basi nyie ahhhh haooooo mnaingizana Maputo au Nampula for a weekend..kwanza hakuna wanga wanaokujua wakakutoa kwenye utamu,pili inawapa kazi ya ziada Interpol na tatu nadhani its safer kuzungumza mambo ya kifisadi baharini kuliko nchi kavu

Hiii ndio maana ya DONT HATE THE PLAYER, HATE THE GAME
 
Mkuu mimi nimesoma nikabaki mdomo wazi....anyway nasikia dogo fom foo faliya
 
Mkuu mimi nimesoma nikabaki mdomo wazi....anyway nasikia dogo fom foo faliya

GT Heshima Mbele,

Huyu dogo ni mtoto wa Kigoda yupi? yule aliyembioni kununua fukwe kule kuelekea Bagamoyo anayepambana na Africarier? Who is he? What so special about him?
 
Kutokana na dataz za kule kwenye lamba lamba sukari huyu dogo anakula mzigo BoT lakini ni form four failure wenye dataz mnao mfahamu huyu dogo pamoja na Omary tunaombeni dataz zaidi.Tujue kwanza yupo BoT au wapi?Kisha tujue kama kweli yupo pale yupo kitengo gani na kwa fani gani?Kuna maswali mengi sana hapa.
 
Inawezekana ni mtoto wa Kigoda aliyekuwa Treasurer wa CCM enzi za Mkapa wakati chama tawala kinakwapua ngawila BOT!! Angeingiaje BOT kama kweli ni form iv failure na kama sio mtoto wa fisadi ? Nasikia huyo ndio alikuwa chaguo la BWM kuwa awe Rais wetu ; kama hivyo ndivyo mtoto anakula EPA mgongoni kwa babae!!.
 
Vita dhidi ya ufisadi ni ngumu na itachukua muda mrefu (if not forever) kufanikiwa maana mafisadi wamekuwa kama hiv wana-multiply kwa kasi kwenye mfumo wa nchi yetu.Baba fisadi anamweka mwanae mahala kuendeleza ufisadi,mwana anamvuta gf wake kushiriki kula keki ya taifa,marafiki nao wanashirikishwa kwa namna moja au nyingine,hatimaye baadhi yetu katika jamii tunajikuta tunaingia mkumboni mwa kuwaita mafisadi CELEBRITIES.
 
By the way...mi sikujua kama watoto wa vigogo ni Celebrities!!!

Form IV failure anafanya nini BOT?

I now can believe.....Only in Tanzania mambo kama haya yanakubalika!!!
 
GT Heshima Mbele,

Huyu dogo ni mtoto wa Kigoda yupi? yule aliyembioni kununua fukwe kule kuelekea Bagamoyo anayepambana na Africarier? Who is he? What so special about him?
Abdallah Kigoda........... uspesho wake ni kwamba dogo ni celebrity hapa town...
Watu wana hasira nae anawamega dadaz na gf wa masela mjini bsi mnajua mademu zao wakiona mkwanja wanapagawa...
 
Wanadai anamega kimya kimyaa silencer.
Yeye haimbishi ili dadaz wanajipeleka wao wenyewe amekuwa kama sumaku.
 
Wanadai anamega kimya kimyaa silencer.
Yeye haimbishi ili dadaz wanajipeleka wao wenyewe amekuwa kama sumaku.

Naanza kuamini kwamba huyu jamaa ni F IV failure.... hivi kuna sifa gani katika kumega mega??? Is that realy fame??

I care less about such a guy.... too bad!! BONGO CELEBRITIES!!!
 
Wanadai anamega kimya kimyaa silencer.
Yeye haimbishi ili dadaz wanajipeleka wao wenyewe amekuwa kama sumaku.

Inawezekana. If he has money, he is 'man enough' and good looking (judging from the foto), 'dada zetu' watajipeleka tu! Lakini awe mwangalifu atanunua mpaka 'miwaya'!
 
Hata we mwenyewe unaupenda

Ahh wapi..

Nilikuwa napepesa macho tu huku baada ya uchovu wa kazi za mchana kutwa. Nway, naona wabongo n i wabun ifu kwelikweli.. maana mtu anaanzisha 'dhana' , halafu bila kuithibitisha hiyo dhana, anaendelea kuitumia kama premises ktk kuzidi kulikoroga jamvi..


Job Truetrue..!
 
Ahh wapi..

Nilikuwa napepesa macho tu huku baada ya uchovu wa kazi za mchana kutwa. Nway, naona wabongo n i wabun ifu kwelikweli.. maana mtu anaanzisha 'dhana' , halafu bila kuithibitisha hiyo dhana, anaendelea kuitumia kama premises ktk kuzidi kulikoroga jamvi..


Job Truetrue..!
ww kweli Dr Mtindio
 
Jamani huu mjadala ni wa nini?
Kweli kabisa watu wazima tunaanza kujadili watoto wa chini ya miaka 25?
Yeah, anatanua lakini bado ni mtoto anayeishi na wazazi, bado anategemea wazazi.
We have bigger fish to fry, sio huyu...
 
I say YoYo,hako kasisimizi kako kamenifanya nusu nivunje kiskrini changu,kila nikikapiga hakafi!
 
Wanadai anamega kimya kimyaa silencer.
Yeye haimbishi ili dadaz wanajipeleka wao wenyewe amekuwa kama sumaku.

Kawa kama sumaku??? Aangalie sana anavyovivuta maana hata sumaku huwa inavuta hadi masalia ya vyuma vyenye kutu anaweza kupata demu mwenye LUKU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom