Jack Wilshere atangaza kustaafu kucheza soka

Jack Wilshere atangaza kustaafu kucheza soka

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Jack Wilshere.jpg

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 30, timu yake ya mwisho ikiwa ni Aarhus ya Denmark.

Wilshere ambaye alikuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara iliaminika atakuwa staa mkubwa wakati akichipukia, anastaafu akiwa ameichezea Arsenal mechi 197.
===

BREAKING NEWS: Jack Wilshere RETIRES from football, aged just 30, admitting his career 'slipped away while I still had so much to give' - as Arsenal finalise a deal to make him their Under 18 head coach

Former Arsenal star Jack Wilshere has announced his retirement from football at the age of just 30 after his exit from Danish club Aarhus.

Wilshere was once tipped as a future England captain, but despite his undoubted quality as a central midfielder and promising early progress, he struggled to shine at Arsenal after being hit by a number of injury problems.

He played 197 times for the Gunners, but in truth should have featured much more for a club he spent 10 professional seasons with having joined his beloved north London club at the age of nine.

Source: DailyMail
 
alidominate game huku wapinzani wakiwa xavi iniesta messi na bosquet at their prime
 
itakuwa huangalii mpira wewe
Acha kujificha kwenye kivuli cha mchicha...ni lini arsenal wakiwa na wilshare walicheza na barca na huyo wilishere kuwazidi hao mafundi wa dimba la Kati duniani mpaka sayari nyingine
 
Acha kujificha kwenye kivuli cha mchicha...ni lini arsenal wakiwa na wilshare walicheza na barca na huyo wilishere kuwazidi hao mafundi wa dimba la Kati duniani mpaka sayari nyingine
Acha kushupaza shingo
SmartSelect_20220709-084928_YouTube.jpeg
 
Acha kujificha kwenye kivuli cha mchicha...ni lini arsenal wakiwa na wilshare walicheza na barca na huyo wilishere kuwazidi hao mafundi wa dimba la Kati duniani mpaka sayari nyingine
ona aibu basi
Sasa kufungwa 2-1 ndo aliwatawala wakina xavi..?
umri wako bado mdogo kijana kaangalie mechi nzima ndo uje hapa kubishana na baba ako ambaye mamaako hakukwambia
 
Naikumbuka hiyo Game.
Majeruhi yamemuondoa mchezoni mapema sana.
Likewise of ABOU DIABY
hiyo ni barcelona ya 2011 aelewe ya 2011
Messi hana ndevu hapo
msimu huo wanafungwa mechi moja tu kwenye michuano ya uefa na jack ndo aliutawala mchezo
 
ona aibu basi

umri wako bado mdogo kijana kaangalie mechi nzima ndo uje hapa kubishana na baba ako ambaye mamaako hakukwambia
Dogo unafkiria mimi nanukia maziwaa kama wewe...? Hiyo game sikuangalia ila nilikua mkubwa sana tu
 
Jack alicheza na wanaojua wengi pale Gunners. Wataalamu wa soka, ni mchezaji gani wa Uingereza enzi zao ambaye bado anatamba bila kujali umri?

Theo?
 
Back
Top Bottom