Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Jul 19, 2017 #21 Marlex Jr El said: Walker pauni 50 million pesa na uhalisia ni vitu viwili tofauti... Click to expand... Waingereza katika ujinga wao uliotukuka.
Marlex Jr El said: Walker pauni 50 million pesa na uhalisia ni vitu viwili tofauti... Click to expand... Waingereza katika ujinga wao uliotukuka.
S shevadon5 Senior Member Joined Mar 15, 2012 Posts 195 Reaction score 188 Jul 19, 2017 #22 Soka lishaharibika especially kwenye signing wachezaji wanakua overpriced hasa wakitakiwa na timu za uingereza.mfano bonucci kaenda ac milan kwa paundi 32M wakati timu za uingereza ziliambiwa zitoe paundi 60M.
Soka lishaharibika especially kwenye signing wachezaji wanakua overpriced hasa wakitakiwa na timu za uingereza.mfano bonucci kaenda ac milan kwa paundi 32M wakati timu za uingereza ziliambiwa zitoe paundi 60M.
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,026 Reaction score 1,706 Jul 20, 2017 #23 pancha zao very chronic
Christopher Wallace JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,479 Reaction score 3,788 Sep 25, 2018 Thread starter #24 Wilshere yupo West Ham wakati Cleverley yupo Watford. Anguko!
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Sep 26, 2018 #25 Kwa kumbukumbu tu: kikosi cha England cha WC 2018, hakuna hata Mmoja ana namba ya kudumu first 11 ukiacha Raheem anaerukaruka tu
Kwa kumbukumbu tu: kikosi cha England cha WC 2018, hakuna hata Mmoja ana namba ya kudumu first 11 ukiacha Raheem anaerukaruka tu
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Sep 27, 2018 #26 Wote hawajawahi wala kukaribua kuwa World Class Players